Kisumu
Taka
Makao
Usafiri
Kisumu inakabiliana na changamoto za kimazingira kama makazi duni, uchafuzi wa ziwa Viktoria, chanzo cha lishe na mapato.
Jiji pia linakabiliana na utata wa usimamizi wa taka. Ukataji wa miti kwenye milima yanayozingira jiji umeongeza hatari ya mafuriko. Yote haya yameanza kuathiri afya ya wanajiji.
Mradi wetu wa ushiriki wa umma unaanza na wenyeji wa vitongoji duni vya Kisumu, wanahabari na maafisa wa wa idara ya mazingira na mabadiliko ya tabia nchi katika serikali ya kaunti.
Vikundi hivi vinashirikiana ili kutafuta suluhu mwafaka na endelevu kwa shida tata ya usimamizi wa taka.