skip to main content
Ningbo

Ningbo

Ningbo

Pollution

Uchafuzi

>Water

Maji

Ningbo ni jiji kuu la bandari lililo mashariki mwa Uchina. Kati ya idadi yake ya watu milioni 7.6, milioni 3.5 wanaishi katika sehemu lenye ujenzi mwingi na lililogawanyika katika maeneo sita.

Ningbo

Ningbo imekuwa ikiipa kipaumbele miradi ya kimazingira yanayodumisha uchumi na kinachozingatiwa kikiwa kudumishwa kwa ubora wa hewa na maji, haswa katika sehemu zilizo na ujenzi mwingi.

CUSSH inashirikiana na serikali ndogo ya Ningbo katika kufanya utafiti na kutambua mbinu zinazofaa ili kutimiza malengo ya jiji hilo.

Tunashukuru timu yetu jijini Ningbo

Watafiti

Paul Wilkinson
Ai Milojevic
Yanlin Niu
Yafei Guo
Qiyong Liu

Washiriki

Ningbo Municipal Ecological Environment Bureau