Nairobi
Upangaji
Uchafuzi
Nairobi inabuni kuendeleza maeneo mawili: Woodley, eneo lililo lenye kipato cha kati na Kasarani, eneo lililo na wakaazi wengi.
Ikishirikiana na CUSSH, serikali ya kaunti inachukua fursa hii kupanga nafasi mpya jijini kwa kuchora ramani ya majumba na nafasi safi zinazoambatana kwa usawa na mazingira na afya ya wenyeji.