skip to main content
Beijing

Beijing

Beijing

Pollution

Uchafuzi

Jiji kuu la Uchina, Beijing, lina wakaazi zaidi ya milioni 21, na inakabiliwa na changamoto ya ubora wa hewa.

Beijing

Katika miaka mitano iliopita, Beijing imefanya juhudi katika kupunguza usugu wa uchafu wa hewa na unaohatarisha maisha ya wenyeji. Lakini bado ipo kazi zaidi katika kudumisha mazingira safi yanayodumisha afya bora.

Ili kusambaza mradi huu, wataalamu wa afya na mazingira wanashirikiana na CUSSH ili kufahamu vizuri vyanzo vya vichafuzi vya hewa ndani ya Beijing na maeneo yanayoizingira.

Tunashukuru timu yetu jijini Beijing

Watafiti

Paul Wilkinson
Ai Milojevic
Yanlin Niu
Yafei Guo
Qiyong Liu
Gregor Kiesewetter
Jun Liu

Washiriki